Ufafanuzi wa kinagiri katika Kiswahili

kinagiri

nominoPlural vinagiri

  • 1

    pambo lenye umbo kama ushanga mkubwa, agh. la dhahabu, linalofungwa katika mkufu.

Matamshi

kinagiri

/kinagiri/