Ufafanuzi wa kinai katika Kiswahili

kinai

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    tosheka au ridhika na kitu ulichonacho.

  • 2

    kosa hamu ya kufanya jambo au ya chakula baada ya kulifanya au kukila chakula hicho mara nyingi.

Asili

Kar

Matamshi

kinai

/kinaji/