Ufafanuzi wa king’ora katika Kiswahili

king’ora

nominoPlural ving’ora

  • 1

    kifaa kinachotoa sauti kali kufahamisha hali ya hatari au kuashiria kutimu wakati fulani.

    gunda, selo, honi, paipu

  • 2

    sauti inayotoka kwenye kifaa hicho.

Matamshi

king’ora

/ki4Ora/