Ufafanuzi msingi wa kingo katika Kiswahili

: kingo1kingo2kingo3

kingo1

nominoPlural kingo

 • 1

  ubao wa chini ya mlango.

  kizingiti

Matamshi

kingo

/kingɔ/

Ufafanuzi msingi wa kingo katika Kiswahili

: kingo1kingo2kingo3

kingo2

nominoPlural kingo

 • 1

  mtoto wa jicho.

  trakoma

Matamshi

kingo

/kingɔ/

Ufafanuzi msingi wa kingo katika Kiswahili

: kingo1kingo2kingo3

kingo3

nominoPlural kingo

 • 1

  sehemu ya pembezoni.

Matamshi

kingo

/kingɔ/