Ufafanuzi wa kinongo katika Kiswahili

kinongo

nominoPlural vinongo

  • 1

    mmea mrefu usiozidi futi nne wenye namna ya manyoya ya rangi nyeupe au manjano ambayo hutumika kwa kutengenezea mito ya kulalia.

Matamshi

kinongo

/kinOngO/