Ufafanuzi wa kinyang’anyiro katika Kiswahili

kinyang’anyiro

nominoPlural vinyang’anyiro

  • 1

    mashindano makali, agh. ya kutafuta bingwa katika mchezo au ushindani katika kutafuta uongozi k.v. udiwani, ubunge au urais.

    kindumbwendumbwe

Matamshi

kinyang’anyiro

/ki3aŋa3irɔ/