Ufafanuzi wa kinywa katika Kiswahili

kinywa

nominoPlural vinywa

  • 1

    uwazi uliopo baina ya pua na kidevu ambao ndani yake mna ulimi, meno, n.k. na hutumika kwa kulia chakula, kunywea maji, au kuzungumzia.

    mdomo

Matamshi

kinywa

/ki3wa/