Ufafanuzi wa kinywaji katika Kiswahili

kinywaji

nominoPlural vinywaji

  • 1

    kitu cha majimaji kinachonywewa k.m. uji, chai, maziwa, soda na togwa.

Matamshi

kinywaji

/ki3waʄi/