Ufafanuzi wa kioleza katika Kiswahili

kioleza

nominoPlural violeza

  • 1

    kitu cha kuonyesha meli pahali pa kutia nanga.

    chelezo, boya

Matamshi

kioleza

/kiOlɛza/