Ufafanuzi wa kionjo katika Kiswahili

kionjo

nomino

  • 1

    msukosuko wa kidunia ambao mja hupewa na Mwenyezi Mungu.

    jaribio, mtihani

Matamshi

kionjo

/kijOnʄO/