Ufafanuzi wa kipalio katika Kiswahili

kipalio

nominoPlural vipalio

  • 1

    kitu au chombo cha kuondolea magamba ya samaki.

  • 2

    chombo k.v. kigae au bati ambacho hutumika jikoni kuchukulia moto.

Matamshi

kipalio

/kipalijɔ/