Ufafanuzi wa kipara katika Kiswahili

kipara

nominoPlural vipara

  • 1

    sehemu ndogo kichwani iliyonyonyoka nywele.

    upara

  • 2

    kichwa cha mtu kilichonyolewa nywele zote.

Matamshi

kipara

/kipara/