Ufafanuzi wa kiperea katika Kiswahili

kiperea

nominoPlural viperea

  • 1

    mtumbwi mdogo kiasi cha kuweza kuchukua watu wawili tu.

Matamshi

kiperea

/kipɛrɛja/