Ufafanuzi wa kipigo katika Kiswahili

kipigo

nominoPlural vipigo

  • 1

    tendo la kupigwa au kupiga.

    ‘Amempiga kipigo cha kumuua hasa’

Matamshi

kipigo

/kipigɔ/