Ufafanuzi wa kipimapembe katika Kiswahili

kipimapembe

nominoPlural vipimapembe

  • 1

    kifaa chenye umbo la nusuduara kilichotiwa alama za nyuzi kati ya digrii 0 na digrii 180 na hutumika kupima ukubwa wa pembe.

Matamshi

kipimapembe

/kipimapɛmbɛ/