Ufafanuzi wa kipura katika Kiswahili

kipura

nomino

  • 1

    njiwa mdogo mwenye mbawa zenye rangi ya shaba nyeusi.

Matamshi

kipura

/kipura/