Ufafanuzi wa kipute katika Kiswahili

kipute

nominoPlural vipute

  • 1

    pambano la kushindania kitu.

Matamshi

kipute

/kiputɛ/