Ufafanuzi wa kirejeshi katika Kiswahili

kirejeshi

nominoPlural virejeshi

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    kiambishi kinachotiwa katika kitenzi ili kurejesha tendo kwa mtendaji kama ‘-ji-’ ilivyo katika ‘Ali amejikata’.

Matamshi

kirejeshi

/kirɛʄɛʃi/