Ufafanuzi wa kiritimba katika Kiswahili

kiritimba

kitenzi elekezi

  • 1

    zuia watu wengine wasifanye jambo k.v. biashara isipokuwa wewe tu.

Matamshi

kiritimba

/kiritimba/