Ufafanuzi wa kiruu katika Kiswahili

kiruu

nominoPlural kiruu

  • 1

    hali ya kukosa akili timamu ambayo humfanya mtu kutenda kitu bila kufikiria.

Asili

Kar

Matamshi

kiruu

/kiru:/