Ufafanuzi wa kisarawanda katika Kiswahili

kisarawanda

nominoPlural visarawanda

  • 1

    nguo au kitambaa cheupe kinachotandikwa kitandani siku ya mume kupewa mkewe ili kutambulisha ubikira wa bibi harusi.

Matamshi

kisarawanda

/kisarawanda/