Ufafanuzi wa kisasi katika Kiswahili

kisasi

nominoPlural visasi

  • 1

    nia au kusudio la kulipiza ubaya aliofanyiwa mtu.

  • 2

    malipo kwa ajili ya tendo baya alilofanyiwa mtu.

Matamshi

kisasi

/kisasi/