Ufafanuzi wa kisebusebu katika Kiswahili

kisebusebu

nomino

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kuonyesha watu kwamba jambo fulani hana haja nalo na kumbe analitaka.

Matamshi

kisebusebu

/kisɛbusɛbu/