Ufafanuzi wa kishaufu katika Kiswahili

kishaufu

nominoPlural vishaufu

  • 1

    pambo linalovaliwa na wanawake kwenye uti wa pua.

    hazama, kikero

Asili

Kar

Matamshi

kishaufu

/kiʃawufu/