Ufafanuzi wa kisheti katika Kiswahili

kisheti

nominoPlural visheti

  • 1

    andazi lililokaangwa na kuwa kavu kisha likatoswa katika shira.

Matamshi

kisheti

/kiʃɛti/