Ufafanuzi wa kishungi katika Kiswahili

kishungi

nomino

  • 1

    kitita cha manyoya au nywele kilichojitokeza mbele ya kichwa cha ndege au mtu.

Matamshi

kishungi

/kiʃungi/