Ufafanuzi wa Kisiu katika Kiswahili

Kisiu

nominoPlural Kisiu

  • 1

    lahaja mojawapo ya Kiswahili inayozungumzwa katika mji wa Siu, uliopo pwani ya Kaskazini ya Kenya.

Matamshi

Kisiu

/kisiwu/