Ufafanuzi wa kisukuku katika Kiswahili

kisukuku

nomino

  • 1

    mabaki ya kale ya wanyama au mimea yaliyofukiwa ardhini na kuwa magumu kama mwamba.

Matamshi

kisukuku

/kisukuku/