Ufafanuzi wa kitafunio katika Kiswahili

kitafunio, kitafuno

nominoPlural vitafunio

  • 1

    kitu kinacholiwa k.v. karanga, mishikaki au sambusa, agh. huliwa wakati wa kunywa soda, chai, kahawa, kakao au juisi.

Matamshi

kitafunio

/kitafunijɔ/