Ufafanuzi msingi wa kitara katika Kiswahili

: kitara1kitara2

kitara1

nomino

  • 1

    mahali palipotengenezwa maalumu kwa kukaushia mbegu au nafaka mbalimbali.

Matamshi

kitara

/kitara/

Ufafanuzi msingi wa kitara katika Kiswahili

: kitara1kitara2

kitara2

nomino

  • 1

    upanga mwembamba, agh. hutumiwa kwa kuongozea gwaride.

Matamshi

kitara

/kitara/