Ufafanuzi wa kite katika Kiswahili

kite

nomino

  • 1

    hali impatayo mtu kuhisi kama naye amepatwa na hali fulani mbaya k.v. msiba.

    huruma