Ufafanuzi wa kitenge katika Kiswahili

kitenge

nomino

  • 1

    nguo kama kanga lakini nzito na haina mji wala maandishi.

Matamshi

kitenge

/kitɛngɛ/