Ufafanuzi wa kitenzi katika Kiswahili

kitenzi

nominoPlural vitenzi

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    neno ambalo huarifu tendo linalofanyika.

    ‘Katika sentensi, kitenzi huwa elekezi au sielekezi’

Matamshi

kitenzi

/kitɛnzi/