Ufafanuzi wa kiteuzi katika Kiswahili

kiteuzi

nominoPlural viteuzi

  • 1

    kifaa kidogo kinachotumika kuingia katika kompyuta.

    kipanya

Matamshi

kiteuzi

/kitɛwuzi/