Ufafanuzi wa kitimbi katika Kiswahili

kitimbi

nominoPlural vitimbi

  • 1

    kitendo cha hila cha kumdhalilisha mtu mwingine.

Matamshi

kitimbi

/kitimbi/