Ufafanuzi msingi wa kitivo katika Kiswahili

: kitivo1kitivo2

kitivo1

nominoPlural vitivo

 • 1

  sehemu ya ardhi yenye rutuba.

 • 2

  mahali k.v. katika mji au kijiji ambapo panapatikana kila kitu.

Matamshi

kitivo

/kitivO/

Ufafanuzi msingi wa kitivo katika Kiswahili

: kitivo1kitivo2

kitivo2

nominoPlural vitivo

 • 1

  idara kuu ya masomo ya fani fulani k.v. katika chuo kikuu, ambayo huwa na idara zake ndogo.

  ‘Kitivo cha Sayansi’

Matamshi

kitivo

/kitivO/