Ufafanuzi msingi wa kito katika Kiswahili

: kito1kito2

kito1

nominoPlural vito

  • 1

    jiwe la thamani k.v. almasi, lulu au feruzi, agh. hutumiwa kama pambo katika pete au mkufu.

    johari

Matamshi

kito

/kitO/

Ufafanuzi msingi wa kito katika Kiswahili

: kito1kito2

kito2

nominoPlural vito

  • 1

    mchezo wa watoto wa kuficha vitu na kuvitafuta.

Matamshi

kito

/kitO/