Ufafanuzi wa kituko katika Kiswahili

kituko

nominoPlural vituko

  • 1

    tukio la kushangaza.

    dungudungu, kioja, ajabu, hekaya, shani

Matamshi

kituko

/kituko/