Ufafanuzi wa kitunguu katika Kiswahili

kitunguu

nominoPlural vitunguu

  • 1

    mmea ambao shina lake lina tabaka za mviringo lenye mvuke unaochemuza na kuwasha machoni unapokatwa na hutumika kama kiungo katika vyakula.

    ‘Kitunguumaji’

Matamshi

kitunguu

/kitungu:/