Ufafanuzi wa kiuakuvu katika Kiswahili

kiuakuvu

nominoPlural viuakuvu

  • 1

    aina ya dawa ya kuua vijimelea vinavyoota ndani ya kitu kama muhogo au nazi na kusababisha uozo au ukungu.

Matamshi

kiuakuvu

/kiuwakuvu/