Ufafanuzi wa kiunganishi katika Kiswahili

kiunganishi

nominoPlural viunganishi

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    neno linalounganisha maneno, vikundi vya maneno au sentensi k.m. ‘na’ katika ‘Juma na Ali wamesoma’.

  • 2

    Sarufi
    kipashio ambacho uamilifu wake ni kuweka pamoja vipashio mbalimbali kuunda kipashio kikuu kimoja.

Matamshi

kiunganishi

/kiwunganiʃi/