Ufafanuzi wa kiunzi katika Kiswahili

kiunzi

nominoPlural viunzi

  • 1

    kiguzo kinachokitwa kwa kuundia chombo cha bahari k.v. jahazi, n.k..

  • 2

    mwimo wa mlango.

  • 3

    kitu kilichotengenezwa mfano wa umbo la miimo ya mlango lakini kifupi zaidi na kinachotumiwa katika michezo ya mashindano ya mbio ili washindani wakiruke.

Matamshi

kiunzi

/kiwunzi/