Ufafanuzi wa kivunde katika Kiswahili

kivunde

nominoPlural vivunde

  • 1

    muhogo uliorowekwa na kukaushwa, agh. hufanywa unga.

    ‘Unga wa kivunde’
    ‘Ugali wa kivunde’

Matamshi

kivunde

/kivundɛ/