Ufafanuzi wa kivunga katika Kiswahili

kivunga

nomino

  • 1

    nywele nyingi zilizofugwa, agh. ambazo hazikutunzwa vizuri.

Matamshi

kivunga

/kivunga/