Ufafanuzi wa kivyere katika Kiswahili

kivyere

nominoPlural vivyere

  • 1

    jina linalotumika kuitana wazazi wa mke na wazazi wa mume.

Matamshi

kivyere

/kivjɛrɛ/