Ufafanuzi msingi wa kiwanda katika Kiswahili

: kiwanda1kiwanda2kiwanda3

kiwanda1

nominoPlural viwanda

  • 1

    banda au mahali mafundi wanapofanyia kazi zao au mahali panapotengenezwa bidhaa au vifaa.

Matamshi

kiwanda

/kiwanda/

Ufafanuzi msingi wa kiwanda katika Kiswahili

: kiwanda1kiwanda2kiwanda3

kiwanda2

nominoPlural viwanda

  • 1

    vijiti viwili vya kufungia mtanda katika kazi ya kutarizi au kufuma.

Matamshi

kiwanda

/kiwanda/

Ufafanuzi msingi wa kiwanda katika Kiswahili

: kiwanda1kiwanda2kiwanda3

kiwanda3

nominoPlural viwanda

Matamshi

kiwanda

/kiwanda/