Ufafanuzi wa kizabizabina katika Kiswahili

kizabizabina

nomino

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kutafuta maneno ya watu na kuyapeleka kwingine.

    ‘Ni wajibu kumkosoa huyu kizabizabina’
    mbeya, mdhabidhabina

Matamshi

kizabizabina

/kizabizabina/