Ufafanuzi wa kocha katika Kiswahili

kocha

nominoPlural makocha

  • 1

    mwalimu wa michezo k.v. mpira au riadha.

    mkurufunzi

Asili

Kng

Matamshi

kocha

/kOt∫a/