Ufafanuzi msingi wa koga katika Kiswahili

: koga1koga2koga3

koga1

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    onyesha maringo mbele ya watu.

Matamshi

koga

/kOga/

Ufafanuzi msingi wa koga katika Kiswahili

: koga1koga2koga3

koga2

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

Matamshi

koga

/kOga/

Ufafanuzi msingi wa koga katika Kiswahili

: koga1koga2koga3

koga3

nominoPlural koga

  • 1

    uchafu wa mwilini, agh. unaoshika kwenye nguo iliyovaliwa.

    ‘Amevaa shati hilo hilo mpaka limemea koga’

Matamshi

koga

/kOga/