Ufafanuzi wa komafi katika Kiswahili

komafi

nominoPlural makomafi

  • 1

    tunda la kahawia linalofanana na balungi linalotokana na mkomafi.

Matamshi

komafi

/kOmafi/